HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Matiang’i aahidi mikakati dhabiti imewekwa kuwakabili wauzaji wa pombe haramu

Waziri wa usalama wa ndani daktari Fred Matiang’i amesema kwamba vita dhidi ya pombe haramu ni moja wapo ya juhudi za wizara yake, na ipo hatua mwafaka za kukabiliana na janga hilo.
Akizuru kaunti ya Murang’a na sehemu za kaunti ya Kiambu, Matiang’i amesisitiza kuwa serikali itaweka mikakati kabambe ili kukomesha biashara haramu ya uuzaji na usambaji wa pombe haramu huku chang’aa ikilengwa zaidi.

Show More

Related Articles