HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Matiang’i asema ukaguzi lazima ufanywe kuisafisha idara ya polisi

Waziri wa usalama dakta Fred Matiang’i amejitosa katika mzozo wa ajira kwa maafisa wa polisi na kuapa kuisafisha idara ya kuajiri maafisa wa polisi.
Matiangi ameahidi kushuhudiwa mabadiliko makubwa katika idara hiyo akisisitiza kuwa mikakati imo mbioni kushughulikia suala tata la mishahara ya maafisa hao kwenye lengo la kung’oa mizizi ya tatizo hilo.

Show More

Related Articles