HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Sudan kifaru mweupe wa kiume aliyekuwa amesalia ulimwenguni afariki

Kifaru mweupe wa kiume aliyesalia ulimwenguni anayejulikana kama Sudan, ameaga dunia, akiwa na umri wa miaka 45.

Kifaru huyo ambaye amepata sifa kote ulimwenguni alifariki kutokana na matatizo yanayotokana na uzee na vidonda kwenye ngozi yake katika hifadhi ya Ol Pejeta kaunti ya Laikipia.

Show More

Related Articles