HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Jamaa aliyepigiliwa misumari 4 kichwani na mwendawazimu apata nafuu

Isaac Mutembei , jamaa aliyepigwa kichwani kwa nyundo na vilevile kupigiliwa misumari minne Isiolo amepona na tayari kuruhusiwa kuondoka hospitali kuu ya Kenyatta.
Mutembei anasema kupona kwake ni muujiza , na sasa anapania kumtumikia maulana miaka yake yote.

Show More

Related Articles