HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Wiper,ANC na Ford Kenya vyashtumu hatua ya kumwondoa Wetangula

Katika bunge la seneti,viongozi wa vyama vya Ford Kenya, Wiper na Amani National Congress wameishtumu hatua ya kuondolewa kwa seneta wa Bungoma Moses Wetangula kama kiongozi wa walio wachache kwenye bunge hilo wakidai kuwa ni njama ya chama cha ODM ya kuyumbisha muungano wa NASA.
Anders Ihachi alihudhuria vikao vya vyama hivyo vitatu leo na anaarifu zaidi kwenye kile kinachoonekana kuwa kuvunjika kwa ndoa ya NASA japo vigogo wa NASA wanadai kuwa watafanya juu chini kuhakikisha upinzani upo na haumezwi na serikali ya Jubilee.

Show More

Related Articles