HabariPilipili FmPilipili FM News

Wakenya Milioni Moja Wasajiliwa Kwenye Mpango Wa Inua Jamii.

Zaidi ya wakenya milioni moja wamesajiliwa katika mpango wa inua jamii chini ya wizara ya leba.

Akiongea wakati wa kuzindua mpango huo waziri wa leba Ukur Yatani ,amesema jumla ya shilingi bilioni 23 zimetengwa kuwasaidia watu wenye umri wa miaka 70 na zaidi katika mwaka huu wa kifedha.

Yatani amewarai wahisani waliohudhuria kongamano hilo kuja na mapendekezo jinsi ya kiunua jamii maskini zinazoishi humu nchini.

Show More

Related Articles