HabariPilipili FmPilipili FM News

Serikali Kuboresha Sekta Ya Afya.

Serikali imetangaza kuboresha sekta ya afya inchini kuhakikisha kila mkenya anapata huduma bora za afya.

Akiongea wakati wa ziara yake katika  kaunti ya Nyeri waziri wa afya Secily Kariuki amesema lengo la serikali ni kuhakikisha kila mkenya ananufaika na bima ya afya ya ya NHIF kote nchini.

Kulingana naye ni wakenya milioni 16 pekee wanaofaidi na mpango huo kwa sasa humu nchini.

Show More

Related Articles