HabariMilele FmSwahili

Kennedy Ogeta aapishwa kuwa mwanasheria mkuu wa serikali

Kennedy Ogeto ameapishwa kuwa mwanasheria mkuu wa serikali. Ogeto anachukua mahala pa Njee Muturi. Ogeto ambaye ni wakili na amewahi mwakilisha rais Uhuru Kenyatta katika kesi za uchaguzi mwaka jana aliidhinsihwa na bunge kutokana na tajriba yake ya juu ya kuwakilisha na kufaulu katika kesi zilizokuwa zinakabiliwa serikali.

Show More

Related Articles