HabariMilele FmSwahili

Kifaru Mweupe wa kipekee aliyekuwa amesalia duniani afariki kaunti ya Laikipia

Kifaru Mweupe wa kipekee aliyekuwa amesalia nchini kwa jina Sudan amekufa. Shirika la msalaba mwekundu limedhibitisa kufa kwa kifaru huyo maarufu mwenye miaka 45 katika hifadhi ya wanyama ya Olpajeta kaunti ya Laikipia inakisiwa kuwa alikumbwa na matatizo ya kiafya kutokana na umri wake. Aidha Kenya sasa imesalia na vifaru weupe wawili huku KWS ikisema mbegu za uzazi za kifaru huyo zimehifadhiwa kwa matumani ya kuendeleza kizazi cha virafu hao nchini.

Show More

Related Articles