HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Taabu za dhahabu: Wachimba dhahabu wapitia changamoto nyingi Kakamega

Watu wengi hupenda mapambo na vipuli vya dhahabu japo ni wachache hujua wanachokipitia wachimba migodi hadi pale dhahabu hiyo ikapatikana.
Mwanahabari wetu Dennis Matara, alijikakamua na kuungana na wachimba dhahabu eneo la timbo ya Rostaman, Kakamega na kuingia timboni kukuandalia taarifa ifuatayo ya taabu za dhahabu kutoka Kakamega.

Show More

Related Articles