HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Shule zimesalia mahame baada ya wazazi kuwaondoa wanafunzi wao

Shule nyingi katika kaunti ya Wajir zimesalia mahame baada ya wazazi kuwaondoa wanao shuleni kufuatia mgomo wa walimu wanaolalamikia hali mbaya ya usalama hatua iliyoilazimu tume ya kuwajiri walimu TSC kuwaondoa walimu wasiowenyeji katika shule hizo.
Kama anavyoarifu Gordon Odhiambo ,haijulikani ni lini TSC itawapeleka walimu wengine kuchukua nafasi za wale walioondoka.

Show More

Related Articles