HabariMilele FmSwahili

Shule zote nchini zina hadi mwisho wa mwezi huu kupaka mabasi yao rangi ya manjano

Shule zote nchini zina hadi mwisho wa mwezi huu kupata mabasi yao rangi ya manjano. Haya ni kwa mujibu wa katibu katika wizara ya elimu Belio Kipsang anayesema shule zilipewa muda wa kutosha kutekeleza agizo hilo.amebaini kuwa tayari wamezungumza na wenzao kwenye wizara ya usalama wa ndani kuhusu swala hilo. Kipsang aidha anasema serikali imewekeza fedha nyingi katika sekta ya elimu huku akionya hatua kali dhidi ya wazazi wasiowapelaka wanao shuleni.

Show More

Related Articles