HabariMilele FmSwahili

Chuo cha kiufundi cha Nyeri chafungwa kwa muda usiojulikana

Chuo cha kiufundi cha Nyeri kimefungwa kwa muda usiojulikana. Hii ni baada ya wanafunzi kuandamana wakitaka mwalimu mkuu wa chuo hicho Ann Njeri kuondolewa afisini. Wandai mkuu huyo anaingilia shughuli zao ikiwemo uchaguzi wa wakuu wa wanafunzi. Madai aliyoyapinga vikali bi Njeri.

Show More

Related Articles