HabariMilele FmSwahili

Shirika la KNHCR lataka hukumu ya kifo kupigwa marufuku

Shirika la KNHCR sasa linataka sheria dhidi ya hukumu ya kifo kupigwa marufuku. Mwenyekiti Kagwiria Mbogori anasema licha ya mahakaa ya upeo kuamuru sheria hiyo kupigwa marufuku,agizo hilo lingali kutekelezwa. Kwenye kikao na wanahabari, Kawiria anasema sheria hiyo imeendelea kuwa kuzuizi kwa wafungwa wengi waliohukumiwa kifo ambao wanstahili kufunguliwa mashtaka ili kuhukumiwa upya.

Show More

Related Articles