HabariMilele FmSwahili

Madaktari waliohusika katika upasuaji wa kimakosa KNH waondolewa lawama

Bodi ya muungano wa madkatari imewaondolewa lawama madaktari waliohusika katika mkanganyo wa uapsuaji hospitalini KNH. Katika ripoti iliyowasilishwa mbele ya kamati ya bunge kuhusu afya inayochunguza tukio hilo, bodi hiyo chini ya afisa mkuu mtendaji Dr Daniel Yumbya imeelekeza lawama zote kwa muuguzi Mary Wahome aliyempelekea katika chumba cha upasuaji mgonjwa tofauti kwa upasuaji yumba pia anadai kando na tatizo hilo, KNH inakabiliwa na changamoto za uratatibu ambazo pia anasema zilichangia mkanganyiko huo.

Show More

Related Articles