HabariMilele FmSwahili

Shughuli za uchukuzi zakwama baada ya sehemu ya barabara ya Mai Mahiu kuporomoka

Shughuli za uchukuzi zimekwama kwa mara nyingine baada ya bara bara ya Mai Mahiu kuporomoka kutokana na mvua kubwa eneo hilo. Hii ni mara ya pili kwa bara bara hiyo kuathirika katika muda wa juma moja. Katika taarifa mamlaka ya bara bara kuu KENHA inasema imeanzisha hatua za dharura kurekebisha bara bara hiyo.

Show More

Related Articles