HabariPilipili FmPilipili FM News

Sharif Athman Aomba Serikali Kutupilia Mbali Marufuku Ya Uchomaji Makaa lamu

Mbunge wa lamu mashariki Sharif Athman amemtaka naibu rais William ruto kutupilia mbali marufuku ya ukataji miti na uchomaji wa makaa katika eneo hilo.

Sharif amesema wakaazi wa Lamu huchoma na kuuza makaa kama njia ya kujikimu kimaisha na kuinua uchumi wa eneo hilo.

Amesema iwapo hatua iyo itaendelea kutekelezwa wakaazi wa eneo hilo wataumia zaidi na kuathirika na baa la njaa.

Hata hivyo amemtaka rias kuingilia kati swala la mikopo akisema wakaazi wa Lamu mashariki hawapati mikopo.s

Ameyazungumza haya katika hafla ya uzinduzi wa barabara ya jomvu Rabai iliyofanywa na naibu rais William Ruto.

Show More

Related Articles