HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Rais Kenyatta apewa mapokezi kabambe na Rais Raul Castro

Rais Uhuru Kenyatta hii leo amepokewa rasmi nchini Cuba na rais wa taifa hilo Raul Castro katika kasri maalum jijini Havana.

Aidha Kenyatta alikagua gwaride la wanajeshi nchini humo lililoandaliwa kwa heshima yake, kabla ya kufanya mazungumzo na rasi Castro.
Kati ya masuala yaliyozungumziwa ni ushirikiano kati ya Kenya na Cuba katika nyanja za kimataifa, na jinsi ya kusaidia Kenya kuimarisha sekta ya afya kama anavyotuarifu Kiama Kariuki.

Show More

Related Articles