HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Ari na Ukakamavu : Tunatambua ari ya wahandisi wanaoimba,Mombasa

Kwenye makala ya Ari na Ukakamavu hii leo tunawaangazia vijana wa kikundi cha muziki kutoka kaunti ya Mombasa almaarufu Neo the Band ambao kando na kuwa wahandisi wana kipawa cha uimbaji kinachovutia wengi.
Vijana hawa wamevutia wengi kwa usanii wao na wamefanikiwa kushinda tuzo ya kikundi bora zaidi cha muziki katika kaunti ya Mombasa.
Mwanahabari wetu Kimani Githuku alijiunga nao mjini Mombasa na kutuandalia taarifa ifuatayo.

Show More

Related Articles