HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Kiini cha mafuriko : Serikali haijaonekana kupata funzo licha ya tahadhari kutolewa

Maswali chungu nzima yanazidi kuibuka kuhusu kutojitayarisha kwa serikali kukabili janga la mafuriko, licha ya tahadhari kutoka katika idara ya utabirii ya hali ya anga.
Hali hii imejitokeza huku mabomba ya kupitisha maji yakizibwa na chupa za plastiki, wakati serikali inapania kupiga maruku matumizi yake, sawia na mifuko ya plastiki iliyopigwa marufuku.

Haya yanajiri huku serikali ya kaunti ya Nairobi ikiwa katika harakati za kurekebisha mabomba ya maji yaliyojaa taka.

Angela Cheror amejionea uhalisia wa mambo nairobi na hii hapa taarifa yake.

Show More

Related Articles