HabariPilipili FmPilipili FM News

Wanafunzi Wa Vyuo Watishia Maandamano.

Wanafunzi wa vyuo vikuu kote nchini wametoa makataa kwa serikali hadi Jumapili kutatua mugomo wa wahadhiri unaoendelea la sivyo wafanye maandamano ya kitaifa kote nchini kuishinikiza serikali kutekeleza matakwa ya nyongeza ya mishahara kwa wahadhiri.

Akitoa makataa hayo katibu mkuu wa muungano wa wanafunzi katika chuo cha kiufundi cha TUM Derick Nyasimi amesema mgomo huo umeathiri wanafunzi wa vyuo mbali mbali kote nchini

Wakati huohuo wamemlaumu waziri wa elimu nchini Amina Mohamed kwa kutoweka juhudi za kutatua mgomo

 

 

Show More

Related Articles