HabariMilele FmSwahili

Waziri wa elimu aagiza kufungwa kwa shule katika maeneo yanayokumbwa na mafuriko nchini

Waziri wa elimu Balozi Amina Mohamed ameagiza kufungwa shule katika maeneo yanayokumbwa na mafuriko nchini. Blozi Amina amesema hatua hii inanuia kuwalinda wanafunzi. Pia amewataka wasimamizi wa shule hizo kuchukua hatua za dharura kuepusha majanga. Hatua sawa imechukuliwa na serikali ya kaunti ya Nairobi

Show More

Related Articles