HabariMilele FmSwahili

Hali ya kawaida yarejea kwenye bara bara ya Nairobi- Mombasa katika daraja la Stoni eneo la Athiriver

Hali ya kawaida imerejea kwenye bara bara kuu ya Nairobi Mombasa baada ya eneo la Athiriver kukumbwa na mafuriko kwenye daraja la Stoni Athi. Yalipelekea bara bara kufungwa. Mamlaka ya bara bara kuu KENHA imesema eneo hilo sasa ni salama baada ya kiwango cha maji kupungua. Pia KENHA limedhibitisha kufunguliwa kwa daaraja la mto mawe kwenye bara bara ya Kangundo – Kamulu – Ruai.

Show More

Related Articles