HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Wasiotambulika : Tunawatambua kina dada wanaofanya kazi ya kuhifadhi maiti,Kakamega

Je, endapo wewe ni mwanamke, unaweza kufanya kazi kama mhudumu wa hifadhi ya?
Kwa kweli ni wachache wanaokubali kuichangamkia kazi hii kutokana na unyanyapaa unaohusiana nayo.

Hata hivyo, katika chumba cha kuhifadhi maiti cha hospitali kuu ya Kakamega, utakuta kwamba, kinahudumiwa na kina dada pekee.

Jambo ambalo limewashangaza wenyeji na wageni.

Hii leo tunawatambua kina dada hao, katika makala ya wiki hii, Wasiotambulika naye Dennis Matara.

Show More

Related Articles