HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

KeNHA yaonya madereva kuwa waangalifu msimu huu wa mvua

Mamlaka ya barabara kuu nchini KENHA sasa imewatahadharisha madereva kuwa maakini zaidi msimu huu wa gharika, kwani barabara nyingi kuu nchini zimekuwa hatari kwa usalama.

Kwenye ujumbe kwa vyombo vya habari, mamlaka ya barabara kuu -KENHA-hata hivyo imesema vikosi vyake viko macho usiku na mchana, iwapo kutatokea dharura mahali popote nchini.

Show More

Related Articles