HabariMilele FmSwahili

Gullet :Wakimbizi 8500 wameingia nchini mwezi huu kutoka Ethiopia

Wakimbizi 8500 wameingia nchini tangu mwezi huu ulipoanza kutoka Ethiopia. Shirika la msalaba mwekundu linasema hili ni ongezeko la wakimbizi 2000 katika muda wa siku tatu zilizopita baada ya vikosi vya usalama nchini humo kuwapiga risasi na kuwauawa watu 15 huku wengine zaidi ya 20 wakijeruhiwa. Katibu wa Redcross Abbas Gullet anasema kambi ya Sessi ndioyo inayoongozwa kwa idadi kuwba ya wakimbizi. Aidha anahofia idadi hii itaendelea kuongezeka.
Haya yanajiri huku, wabunge kutoka kaunti ya Marasbair wakielezea hofu ya kuzuka maradhi na mgogoro mkubwa kutokana na hali hii.

Show More

Related Articles