HabariMilele FmSwahili

Naibu rais awataka kina mamakuwa mstari wa mbele kushinikiza uwajibikaji na usawa

Naibu rais William Ruto anawataka akina mama kuwa mstari wa mbele kushinikiza uwajibikaji na usawa. Akizungumza baada ya kukutana na wabugne wa kike kaitka makaazi yake Karen hapa Nairobi, Ruto amewataka kutumia nafasi zao kubuni sheria na sera zitakazofanikisha utawala bora.

Show More

Related Articles