HabariMilele FmSwahili

Kaunti Kamishna wa Kajiado aagiza shule zote kaunti hiyo kufungwa

Shule zote kaunti ya Kajiado zimefungwa. Agioz hili limetolewa na kaunti kamihsna David Kipkemei baada ya mwanafunzi kusombwa na mafuriko eneo la Kiserian. Kipkemei aidha anasema agioz hilo litasalia hadi mvua itakapopungua.

Show More

Related Articles