HabariMilele FmSwahili

Shughuli za kawaida zarejea katika bara bara ya Mai Mahiu- Narok

Shughuli za kawaida zimerejea katika bara bara ya Mai Mahiu Narok. Hii ni baada ya mamlaka ya bara bara kuu KENHA kukamilisha ukarabati wa eneo la bara bara hiyo huko Suswa lililoporomoka. Uchukuzi ulikwama kwa zaidi ya saa 12 jana kufuatia hali hiyo.

Show More

Related Articles