HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Polisi wafichua walivyozuia maangamizi Nairobi mwezi Jana

Polisi wamefichua jinsi walivyotibua jaribio kubwa la kigaidi ambalo lilikuwa litekelezwe hapa jijini Nairobi, na kulenga ofisi za idara ya mahakama za taasisi zingine muhimu serikalini mwezi jana.
Gari aina ya Mitsubishi lililonaswa katika kaunti ya Isiolo likiwa na magaidi watano lilijazwa vilipuzi 36 pamoja na takriban risasi 2,000 na bunduki tano aina ya Ak 47.
Uvamizi huo ulikuwa utekelezwe wakati wa kusikizwa kwa kesi dhidi ya mmoja wao kwa nia ya kutekeleza maangamizi na kupelekea msiba wa kitaifa.

Show More

Related Articles