HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Bodi za shule Wajir zadokeza zitafunga shule kufuatia uhaba wa walimu

Bodi za wasimamizi wa shule zilizoko katika kaunti ya Wajir zimeapa kufunga shule hizo, kutokana na ukosefu wa walimu.
Wakiongozwa na mwenyekiti wa bodi hizo Mohhamed Hussein Nur, wasimamizi hao wanasema kuwa hawatakubali kuona wanafunzi wakiharibu mali ya shule na kukosa mwelekeo , kutokana na hatua ya tume ya kuwaajiri walimu kuhamisha walimu ambao asili yao si wajir hadi shule zingine.

Also read:   Cemania na David Owino uria uheaga ing’ang’i irio iria-ini ria Baringo

Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker