HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wabunge wa ODM watetea uhusiano baina ya Kenyatta na Raila

Siasa za mwaka wa 2022 zilisheheni bungeni leo alasiri wakati wa mjadala kuhusu mwafaka baina ya rais Uhuru Kenyatta na kinara wa Nasa Raila Odinga.
Wabunge walishikilia kuwa wanaunga mkono makubaliano hayo huku matamshi ya upinzani yakibadilika na kuunga mkono ngezo nne za rais Uhuru Kenyatta na serikali ya Jubilee.
Hata hivyo,vuta nikuvute baina ya vyama tanzu vya NASA ilishika kasi, huku vyama vya ANC, Wiper na Ford Kenya vikikashifu ODM kwamba wanacheza ngoma hii ya mazungumzo kivyao.

Show More

Related Articles