HabariMilele FmSwahili

Bei ya petroli yashuka mafuta taa yakipanda

Watumizi wa mafuta taa nchini watagharamika zaidi baada ya tume ya kawi ERC kuongeza bei ya lita moja kwa senti 70. Katika mabadiliko ya mwezi Machi hadi Aprili, wanaotumia petroli wameponea kwani mafuta hayo yameshuhswa bei kwa senti 46 huku wanaotumia mafuta ya diseli wakigharamika zaidi kwa senti 90.

Also read:   Thogora wa maguta kwongerereka hari mieri mugwanja mihituku
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker