HabariMilele FmSwahili

Waziri Karoney :Ufisadi umeathiri pakubwa utoaji wa vyeti vya umiliki wa ardhi nchini

Ufisadi umeathiri pakubwa utoaji wa vyeti vya umiliki wa ardhi nchini. Hata hivyo waziri wa ardhi Farida Karoney amewapa onyo kali maafisa fisadi wa ardhi akiwataka kujiandaa kukabiliwa kisheria. Akiongea alipopokea ripoti kutoka kwa tume ya kupambana na ufisadi EACC inayoangazia jinsi ufisadi umekithiri wizarani humo, Karoney aidha ameelezea wasi wasi wake kuhusu usalama wa stakabadhi muhimu za ardhi nchini

Show More

Related Articles