HabariPilipili FmPilipili FM News

Barabara Ya Narok Mai Mahiu Yaporomoka Katika Eneo La Suswa.

Shughuli za uchukuzi zimekwama baada ya eneo la barabara ya Narok Mai Mahiu kupromoka katika eneo la Suswa.

Hii ni kufuatia mvua kubwa inayonyesha eneo hilo.

Polisi wamewataka madereva kutumia bara bara mbadala huku mamlaka kuu ya ujenzi wa barabara nchini KENHA ikianzisha mipango ya kukarabati barabara hiyo kwa udharura.

Also read:   Munini wa mutongoria wa bururi William Ruto kuuga Jubilee ndiramakio niuria ukuheo kandarathi ya ucabithia wa maratathi

Peter Mundinia ni Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya KENHA.

Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker