HabariPilipili FmPilipili FM News

Mgomo Wa Wahadhiri Waingia Wiki Ya Pili.

Wahadhiri katika vyuo vikuu vya umma wanashiriki maandamano ya kitaifa kote nchini kushinikiza serikali  kutekeleza mkataba wa nyongeza yao ya mshahara.

Wahadhiri ambao wako katika mgomo kwa juma la pili wanataka mkataba wao wa 2017–2021 utekelezwe kikamilifu.

Wakiongea kutoka kaunti mbalimbali nchini, wameapa kutorejea kazini hadi wapewe pesa zao na serikali.

 

Show More

Related Articles