HabariMilele FmSwahili

Bunge kujadili hoja kuhusu maafikiano baina ya Rais Kenyatta na Raila leo

Bunge litajadili hoja kuhusu maafikiano baina ya rais Kenyatta na kiongozi wa upinzani Raila Odinga. Hoja ya mjadala huo imewasilishwa bungeni na kiongozi wa wachache John Mbadi.

Show More

Related Articles