HabariMilele FmSwahili

Shughuli za uchukizi zakwama baada ya sehemu ya bara bara ya Narok-Mai Mahiu kuporomoka

Shughuli za uchukuzi zimekwama baada ya eneo la bara bara ya Narok Mai Mahiu kupromoka katika eneo la Suswa. Hii ni kufuatia mvua kubwa inayonyesha eneo hilo. Polisi wanawataka madereva kutumia bara bara mbadala.

Show More

Related Articles