HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Watu 2 wauawa kikatili na genge linaloua bila huruma,Ndenderu

Biwi la smianzi limetanda katika eneo la Ndenderu kaunti ya Kiambu baada ya mauaji ya watu wawili usiku wa kuamkia leo.
La kushangaza ni kuwa hakuna walichonyang’anywa na wahuni hao.
vilevile inadaiwa kuwa huenda genge moja limerejelea katika eneo hili baada ya visa vingine vya mauaji kuripotiwa na wakaazi wa eneo hilo.

Show More

Related Articles