HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Raila ahudhuria mkutano wa wabunge wa chama chake cha ODM

Vyama vya ANC, Ford Kenya na Wiper vinapania kuandaa mikutano ya wajumbe wake kuanzia Alhamisi hii, na mwanzoni mwa juma lijalo, ili kuzamia suala zima la umoja wa muungano wa nasa baada ya mkutano wa vinara wake wa hapo jana.

Anders Ihachi amezungumza na wendani wa vyama hivi vitatu siku hii ambapo chama cha ODM pia kimeandaa kikao cha wajumbe wake na baadhi ya semi zao zinaashiria kuwa kupatikana kwa mwafaka wa umoja wa nasa kutakuwa kibarua cha ziada.

Show More

Related Articles