HabariMilele FmSwahili

Rais wa Marekani Trump amfuta kazi waziri wa mashauri ya kigeni Rex Tillerson

Rais wa marekani Donald Trump amemfuta kazi waziri wa mashauri ya kigeni wa Marekani Rex Tillerson. Kupitia mtandao wake wa Twitter Trump anasema nafasi ya Rex sasa itatwaliwa na Mike Pompeo ambaye hadi leo alikuwa mkuu wa idara ya ujasusi Marekani. Kufutwa kwa Tillerson kunawadia siku 3 tuu badaye yake kutua nchini na kufanya mashauriano na rais Uhuru Kenyatta .Tillerson pia alizuru mataifa kadhaa ya frika kuuza sera za marekani mapema juma hili.

Show More

Related Articles