HabariPilipili FmPilipili FM News

Kiongozi Wa Kundi Haramu La Wakali Kwanza Apigwa Risasi Mombasa.

Mtu mmoja ayeaminika kuwa kiongozi wa kundi la wakali kwanza amepigwa risasi na kuuawa mapema leo eneo la Kisauni hapa Mombasa.

Inaarifiwa jamaa huyo, aliyetambulika kama jilo alipigwa risasi na maafisa wa polisi mwendo wa saa moja asubuhi.

Kulingana na walioshuhudia kisa hicho, wanasema jamaa huyo alifumaniwa na polisi ambao walimpiga risasi mara nne.

Huyu hapa ni Sangura Musee kamanda wa polisi eneo la kisauni  akithibitisha kisa hicho.

Show More

Related Articles