HabariMilele FmSwahili

Mshukiwa anayedaiwa kuwa kiongozi wa kundi la wakali kwanza auwawa na polisi Mombasa

Polisi huko Mombasa wamempiga risasi mshukiwa anayedaiwa kuwa kiongozi wa kundi linalojita wakali kwanza. Afisa mkuu wa polisi Kisauni Sunguna Musee mshukiwa huyo kwa jina Jilo amepigwa risasi katika eneo la swalihina kisauni alipojaribu kuwavamia wachuuzi waliokuwa wakielekea kwenye soko la kongowea. Polisi wangali wanaendesha msako dhidi ya washukiwa wawili waliofanikiwa kutoweka.

Also read:   Magari Manne Ya Kampuni Ya Najaah Yateketea Mombasa.
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker