HabariMilele FmSwahili

Noordin Haji apendekezwa na rais kuwa mkurugenzi wa mashtaka ya umma

Rais Uhuru Kenyatta amewasilisha jina la Noordin Mohamed Haji kwa bunge kupigwa msasa ili kuhudumu kama mkurugenzi wa mashtaka ya umma. Rais amependekeza jina la Haji kutoka kwa orodha ya wakenya watatu waliopendekezwa na jopo lililowahoji wakenya 10 waliotuma maombi ya kuteuliwa kwenye wadhfa huo. Wengine waliopendekezwa na jopo hilo lake Elizabeth Muli ni Lucy Kambuni na Jacob Nyakundi. Aidha Rais amewasilisha kwa bunge jina la jaji Paul Kihara Kariuki kupigwa

Also read:   Viongozi wa KANU Pokot Magharibi wametangaza kumuunga mkono rais Kenyatta
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker