HabariMilele FmSwahili

Walimu wanaohudumu kaunti ya Mandera waandamana kushinikiza kupewa uhamisho

Walimu wanaohudunu katika kaunti ya Mandera wameandamana nje ya afisi za tume ya kuwaajiri walimu TSC kushinikiza kupewa uhamisho. Walimu hao wanamtaka afisa mkuu mtendaji wa TSC Nancy Macharia kuwapa upesi barua za uhamisho wakiapa kutorejea katika kaunti hiyo. walimu hao wanadai kutokuwa tayari kuendelea kuhudumu katika maeneo yasiyokuwa salama.

Show More

Related Articles