HabariMilele FmSwahili

UASU yataka bunge kuanzisha uchunguzi kuhusiana na usimamizi wa vyuo vikuu nchini

Muungano wa wahadhiri wanaogoma sasa unalitaka bunge kuanzisha uchunguzi kuhusiana na usimamizi wa vyuo vikuu nchini. Katibu mkuu Constantine Wasonga anasema vyuo vikuu vya umma kwa sasa vinatoa huduma duni kutokana na usimamizi mbaya. Akihojiwa na kamati ya bunge la taifa ya elimu Wasonga swala hilo pia limechagia ukosefu wa mwafaka kupatikana kuhusu mgomo wao. Wasonga pia amewasuta manaibu machansela kwa kutowahusisha wadau katika uandaaji bajeti hali inayooathiri utendakazi

Show More

Related Articles