HabariMilele FmSwahili

Ndii awataka viongozi wa NASA kusitisha mpango wa kubuni mabunge ya halaiki

Mwanastrategia wa NASA David Ndii amewataka viongozi wa NASA kukumbatia hatua ya kusitisha mpango wa kubuni mabunge ya halaiki. ndii amewasuta wanaopinga hatua hiyo ya jana akisema ilinuiwa kufanikisha juhudi za kuafikia umoja wa taifa. Pia amesema ameunga mkono mkutano baina ya rais Kenyatta na kinara wa NASA Raila Odinga akisema ni hatua muhimu katika kuhimiza maridhiano

Show More

Related Articles