HabariMilele FmSwahili

NTSA yaanzisha mpango wa kuwapa mafunzo upya madereva wa magari ya uchukuzi wa umma

Mamlaka ya usalama na uchukuzi bara barani imeanzisha mpango wa kuwapa mafunzo upya madreva wa magari ya uchukuzi wa umma nchini. Kulinghana na mkurugenzi wa usalama wa NTSA dkt Dancun Kibungong amesema  anasema lengo lao ni kupunguza ajali zinazoshuhudiwa nchini kutokana na mamosa ya kibinadamu.

Aidha maderera wanaohudhuria mafunzo hayo katika eneo la Kabete hapa jijini Nairobi na kwengineko nchini watatozwa shilingi elfu moja. Madereva elfu 11 wanaohudumu nyakati za usiku watapokea mafunzo katika awamu ya kwanza.

Show More

Related Articles