HabariMilele FmSwahili

Mgonjwa aliyefanyiwa upasuaji kimakosa KNH adai fidia

Mgonjwa aliyefanyiwa upasuaji wa kimakosa katika hospitali kuu ya Kenyatta sasa anadai fidia. Kupitia wakili Wahome Thuku mgonjwa huyu anaitaka bodi ya hospitali ya Kenyatta kumlipa fidia kwa masaibu aliyopitia.Aametishia kuishitaki hospitali hiyo iwapo haitamlipa.

 

Show More

Related Articles