HabariMilele FmSwahili

Mmoja wa wamaziki waliotunga wimbo wa Ikamba kufikishwa mahakamani leo

Mmoja wa wanamuziki waliotunga wimbo unaodaiwa kukejeli jamii ya Wakamba  atafikishwa katika mahakama ya Nairobi kujibu mashitaka ya uchochezi. John Gichiri Njau alikamatwa baada ya kutunga na kuimba wimbo almaarufu ikamba kupinga harakati za gavana wa Kitui Charity Ngilu dhidi ya usafirishaji makaa kaunti yake. Maafisa wa tume ya uuiano na utangamano NCIC wanasema wanamsaka mwimbaji wa pili wa wimbo huo

Show More

Related Articles